Back to explore
UTENGENEZAJI WA MAKANYAGIO

by Asumpta Laurence ndunguru

Story overview

UTENGENEZAJI WA MAKANYAGIO

Essay
Reads

4

Likes

0

Parts

6

Status

published

Utangulizi: Habari Yako mpenzi msomaji Leo nimekuletea kitabu hiki ili uweze kupata ujuzi wa kutengeneza makanyagio mazuri ukiwa nyumbani kwaajili ya biashara karibu Sanaa twende pamoja kujifunza. Vifaa vinavyohitajika; 1: Uzi wa rangi rangi kama pink au wowote uupendao ila ni ule wa kusukia nywele 2: Kapeti/kiroba mfuko wa unga wa ngano 3: Sindano ya mkono 4:mkasi 5: msumari Jinsi ya kuandaa Kapeti; Kata kipande Cha kiroba ukubwa unaouhitaji kulingana na ukubwa wa kanyagio unalohitaji kutengeneza. Tunga Uzi wako kwenye Sindano ya mkono tumia Uzi ambao utautumia kutengenezea kanyagio lako. Tunga mrefu ila sio mrefu Sanaa, alafu kwenye upindo wa kiroba chako ulichokata,kunja marambili alafu anza kushonea Kwa kuzungusha Kapeti lote. Kapeti lako litakuwa tayari. Jinsi ya kutengeneza: 1: Fumua Uzi wako,Kisha kata vipande vipande visiwe virefu virefu Sanaa, viweke pembeni. 2: viringisha Uzi kwenye kiganja chako Cha mkono,vidole vinne vibananishe,kidole gumba utakiacha.viringisha Uzi kiasi, ukiviringisha mwingi utashindwa kuutoa maana utabana vidole. 3: baada ya kuviringisha kata,Kisha utoe taratibu kwenye kiganja chako,alafu chukua kipande kimoja Cha Uzi ambao uliukata vipande vipande ukauweka pembeni. 4:kilaze chini kipande Cha Uzi kinyooke alafu weka ule Uzi ulioviringisha,weka katikati ya kile kipande ulichokilaza chini Kisha funga.maana ukishaweka ule Uzi kati kati pembeni kutakuwa na nyuzi imebaki upande wa kulia na kushoto,tumia hizo nyuzi kufungia. 5: utafunga mara ya kwanza, utageuza upande wapili wa Uzi ulioviringisha utafunga tena uwe unakaza ila usitumie nguvu Uzi unaweza ukakatika.utageuza tena Sasa utafunga mara ya na yapili Ili usifunguke. 6: kitatokea kitu mfano wa ua la kipepeo pia utaona Lina matundu pande mbili, upande wa kulia na kushoto chukua mkasi pitisha kwenye tundu kata uzi Kisha na upande wapili hivyo hivyo utapitisha tena mkasi. 8: utaendelea kuviringisha Uzi wako Kwa kutumia kiganja chako mpaka umalize bundazote za Uzi ulizoandaa Ili upate hayo maua mengi zaidi kwaajili ya kutengenezea kanyagio lako. 8: Baada ya kumaliza kutengeneza mauayako Sasa, chukua Kapeti ulizoandaa, chukua ua Moja tumia zile nyuzimbili ambazo ulitumia kufunga ukapata ua la kipepeo.zibananishe pamoja alafu kunja Katikati viringisha kidogo Kisha weka kwenye Kona ya Kapeti. 9: chukua msumari toboa pale ulipoweka nyuzi, toboa mpaka zile nyuzi zitokee upande wapili wa Kapeti (nyuma).utazivuta alafu utafunga,unavyofunga hakikisha unafunga kabisa usawa wa Kapeti Ili kiua kisilegee na kisichomokee,funga mara nyingi mpaka litoke fundo kubwa ambalo ndio litazuia ua kutochomoka. 10: utaendelea kuweka maua Yako Moja Moja hivyo hivyo Kwa kuyapisha kwenye Kapeti Kwa kutumia msumari mpaka utakapomaliza Kapeti lote.zile nyuzi zitakazobaki baada ya kufunga fundo kule nyuma ya Kapeti kama zitakuwa ndefu Sanaa utazipunguza Kwa kutumia mkasi na kanyagio lako litakuwa limekamilika. 7:

Table of contents

  1. 1Gathering Your Crafting ArsenalThis chapter introduces the reader to the essential materials needed for creating doormats. It lists items like colorful yarn, burlap sacks, needles, scissors, and nails, setting the stage for the crafting process.
  2. 2Preparing the Canvas: The Burlap BaseLearn how to prepare the burlap sack, cutting it to the desired doormat size. This section details how to fold and sew the edges to create a sturdy foundation for your creation.
  3. 3The Art of the Yarn FlowerDive into the core technique of creating the doormat's decorative elements. This chapter explains how to wind yarn, form loops, and cut them to create numerous small, flower-like tassels.
  4. 4Assembling Your MasterpieceDiscover how to attach the yarn flowers to the prepared burlap base. This involves using the remaining yarn tails and a nail to secure each flower firmly to the mat.
  5. 5Finishing Touches and DesignThis chapter focuses on the final steps, including trimming excess yarn, ensuring a neat appearance, and arranging the yarn flowers for maximum visual appeal. It emphasizes color coordination.
  6. 6Sharing the Skill and the ProductConcluding the guide, this section expresses gratitude to the reader and reinforces the learned skills. It also provides contact information for purchasing finished doormats or inquiring further.

More Essay stories

Browse all Essay
  • Trejetas

    Create your own essay.as calkuliuoju visas dienas t y pastabas

  • Tara's Alphabet Adventure

    About ex girlfriend in high school

  • Ink and Love: Letters for My Little Ones

    For Eligah and Melodee for you both to understand what happened.

  • The sex Angel

    He fingered her

  • Untitled

    They was a magical stone one stone is a stone of good things why the oder is e a stone of bad things and they was a grim reaper named essay and she came in the future the other day they was a boy who's no was good things before the got the stone aunty, the grim reaper was with the good stone the n the boy was with the bad stone Create your own essay.

  • Beyond Black Gold: The Rise of Petro-Renewables

    Create a sustainable oil empire by using renewable energy to turn plastic waste into oil!!!

Want to write a story like this?

Learn the craft in our free AI story generator, then draft your first chapter with an AI co-writer.

Start my first chapter